'LIVE"TRANSFOMA ILIYOPO NJE KARAKANA YA MANISPAA IKITEKETEA KWA MOTO
Wananchi wakitazama Trasfoma ambayo imepata hitarafu na kuanza kutoa moto asubuhi hii Pamoja na Trasfoma kuendelea kutoa moshi ila bado wananchi hawa wameonekana kuisogelea kuchungulia sababu ya moshi huo jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao
Wananchi wa Mlandege katika Manispaa ya Iringa wakitazama Transfoma iliyopo eneo la Karakana ya Manispaa ya Iringa ,Mlandege ambayo inaendelea kuwaka moto hivi sasa chanzo cha moto huu bado kufahamika
No comments:
Post a Comment