Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, June 29, 2011

Kumbe Ugaibuni nako wanamadapo Hewa !!


Hili ndilo Dampo lenyewe wananchi wanajitupia mataka taka ovyoo tuu tena katika nchi iliyo endelea 

Pembeni yamepaki magari ya Ofisi huku mbele yake kuna Dampo la mataka taka na ni Nchi iliyo endelea kabisa kama mnavyo ona.
Picha zote na mwandishi wetu

3 comments:

Anonymous said...

Sasa wewe unamind nini nchi za watu badala ya kulalamikia matatizo yaliyo nchini kwako. Hata kama na wao wanamadampo hiyo haifanya kuwa sawa nchi yetu kuwa na madampo. Problems in other countries cannot justify ujinga wetu.

Proches said...

Mkuu ni nchi gani hiyo. Maana hkuitaja kabisa kwenye hii habari.

Anonymous said...

Nchi gani hiyo inaitwa iliyoendelea haina jina lake kamili?Huo ni uzushi tu kwa nini msiiseme au mnataka tu kujifananisha na wenzenu ili muone ni sawa tu na mnachofanya huko kwenu?