Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, June 9, 2011

Haya Ndio Madhara ya kuwaacha watoto mtaani.....

Mtoto huyu alikutwa na Kamera ya Mbeya yetu Mitaa ya Uyole akitembea tembea

Mtoto Huyu alijikuta hana pa kwenda na kuha haha mtaani 

Mtoto huyu tulimkuta mtaa wa Mama johhn akiwa analanda landa bila muelekeo

Dogo huyu alikua anatoka mitaa ya Kanisani na kurejea nyumbani kwao Ilomba

No comments: