Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, June 2, 2011

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YAANZA MATAYARISHO YA UJENZI WA SOKO LA KISASA UHINDINI MBEYA

Kalandinga la jiji likiwa kazini kubomoa mabaki ya vibanda soko la uhindini mbeya

Kama kawaida kwenye matukio hapakosi vibaka hali halisi ndiyo hii
Upande wa barabara ya mbalizi jirani na nmb benki ukiwa tayari umezawazishwa

Mabaki ya magofu ambayo bado yanaendelea kutolewa

No comments: