Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, June 7, 2011

Basi la Budget lachezea mabasi mengine wakati wa safari ya Dar kwenda Mbeya

Basi la Green Star likijaribu kulipita basi la Budget bila mafanikio 

Hapa Basi la Budget likiwa kati kati ya Bara bara huku magari mengine yakiwa hayana nafasi ya kupita

Geti la kuingilia Mikumi ambapo mabasi mawili ya Budget yakiwa yamelizuia basi hili la kichina lisipite.

Habari zaidi na kamera yetu ilivyo shuhudia mabasi hayo yamesumbua mpaka mbele ya askari wa usalama wa bara barani bila askari hao kuwachukulia hatua zozote

1 comment:

Anonymous said...

simu mnazo je abiria gani karipoti polisi?Abiria hii ni kazi yetu kuwafokea madereva wa aina hii.tuwaripoti hawa madareva kwani mchezo wao ni mauti yetu.