Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, June 17, 2011

Banda la Tume ya Kurekebisha Sheria Lawa Ufumbuzi wa Masuala ya Kisheria katika maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye Banda la Tume ya Kurekebisha Tanzania wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Afisa Sheria wa Tume Mercy Mrutu akimsikiliza kwa makini kijana aliyetaka kufahamu undani wa baadhi ya sheria za Tanzania.
Maafisa Sheria wa Tume Marlin Komba (kushoto) na Mercy Mrutu wakiwasikiliza baadhi ya wananchi waliojitokeza katika Banda la Tume kwa ajili ya kupata ufafanuzi wa masuala ya kisheria.
Afisa Sheria wa Tume Fred Kandonga akionesha msisitizo wakati akiwahudumia baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye Banda la Tume ya Kurekebisha Sheria kwa ajili ya kupata ufafanuzi wa masuala ya kisheria.Picha na Munir Shemweta, Ofisa Habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania
Habari na picha kwa hisani ya Michuzi Blog

No comments: