Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, June 14, 2011

Balozi wa Tanzania Uingereza Peter Kallaghe Audhuria ''TROPPING THE COLOUR EVENT''.

Balozi Peter kallaghe akiwa na familia yake nje ofisi na makazi ya waziri mkuu
Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameroon akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Peter Kallaghe pamoja na familia yake wakati walipoudhuria Parade Maalum inayofanytika kila mwaka kuadhimisha siku ya kuzaliwa Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth II
Parade ya Nguvu
Malikia wa Uingereza Queen Elizabeth II akiwa katika gari maalum linalovutwa na farasi kuingia viwanjani hapo
Picha na habari kwa hisani ya Michuzi Blog

No comments: