Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, June 17, 2011

Aibu Ilioje?

Baada ya kuona Sherehe zinaelekea ukingoni jamaa fulani waliamua kujikwapulia Soda kibao katika chupa hizo za Kilimanjaro Mineral Water... Tabia hii sio nzuri kabisa watu wanakosa Vinywaji wengine wanachakachua kama hao hapo juu. 

1 comment:

Rik Kilasi said...

ahahhahhah hii kweli aibu!!