Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, May 27, 2011

Waziri Mkuu Wa India Atua Nchini Tanzania

Rais Jakya Kikwete akimuongoza Waziri Mkuu wa India, Dk. Manmohan Singh muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kushoto ni mke wa Dk. Singh, Gursharan Kaur, na katikati ni Mke wa Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete.
Picha na Fadhil Akida


No comments: