Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, May 26, 2011

Spika Anne Makinda Afunga mkutano wa bajeti za Afrika Mashariki kuhusu Uwazi na Uwajibikaji Na Kuhimiza Uwajibikaji Katika Bajeti Za Serikali

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda akizungumza na waandishi wa habari jana mchana Ubungo Plazza jijini Dar es Salaam mara baada ya kufunga mkutano wa siku tatu ulioandaliwa na Ofisi ya Mdhibiti na Makaguzi Mkuu wa Heasabu za Serikali (CAG) ambao ulikuwa ukijadili Uwazi na Uwajibikaji katika bajeti za nchi za Afrika Mashariki.
Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Mambo ya Uchumi, Dk. Abdallah Kigoda baada ya kufunga mkutano wa bajeti za Afrika Mashariki kuhusu Uwazi na Uwajibikaji jijini Dar es Salaam jana Mchana. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, John Cheyo, na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovic Utouh.
Picha na Robert Okanda



No comments: