RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein(Kushoto)jana amemuapisha Mhe. Jaji Omar Othman Makungu kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar.
Hafla hiyo ilifanyika jana Ikulu mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Miongoni mwa viongozi hao waliohudhuria ni Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Seif Sharif Hamad, Makamu wa Pili wa Rais, Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho, Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Abubakar Khamis, Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Mwinyihaji Makame, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman.

No comments:
Post a Comment