Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, May 17, 2011

MMILIKI WA JENGO HILI YUPO WAPI? HAPA NI BP MBEYA

Wakazi wa jiji la Mbeya wanauliza mmiliki wa jengo hili yupo wapi na kwanini hapangishi jengo lake?
Mahali hapa zamani palikuwa kituo cha mafuta ya magari  palijulikana kwa jina la BP sasa ni zaidi ya miaka mitano tangu waondoe  mitambo yao pamebaki kuwa ni gofu la kupaki Tax na kuuzia mitumba 
Huu ni upande wa nyuma umebaki kuwa ni kituo cha dalala na  kuuzia viazi  na mbogamboga
kwa wafanyakazi wa maofisini

1 comment:

Anonymous said...

MMiliki wa Jengo nipo,nawaachia wauza mitumba nao wajipatie riziki.Hata Mbeya yetu mkitaka ofisi nitawapa bure.Nakaa Songea siku hizi maeneo ya Bomba Mbili.