Mke wa waziri Mkuu wa India Mama Gursharan Kaur (Kushoto) akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 15 mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete (kulia) fedha ambazo zitatumika katika shughuli mbalimbali za kuwasaidia watanzania zinazofanywa na taasisi hiyo. Msaada huo umetolewa leo katika ofisi za WAMA zilizopo jijini Dar es Salaam.
Mke wa waziri Mkuu wa India Mama Gursharan Kaur (Kushoto) akimkabidhi zawadi mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati alipotembelea leo katika ofisi za WAMA zilizopo jijini Dar es Salaam. Mama Kaur ameambatana na mumewe waziri Mkuu wa India Dr. Manmohan Singh aliyeko nchini katika ziara ya kikazi ya siku tatu.

Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete (Kulia) akimkabidhi zawadi Mke wa waziri Mkuu wa India Mama Gursharan Kaur (Kushoto) wakati alipotembelea leo katika ofisi za WAMA zilizopo jijini Dar es Salaam. Mama Kaur ameambatana na mumewe waziri Mkuu wa India Dr. Manmohan Singh aliyeko nchini katika ziara ya kikazi ya siku tatu.
Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mke wa waziri Mkuu wa India Mama Gursharan Kaur (wa pili kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyikaa leo katika ofisi za WAMA zilizopo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu uwekezaji na uwezeshaji Dk. Mary Nagu na kulia ni Mke wa waziri Mkuu mstaafu Mama Regina Lowasa. Mama Kaur ameambatana na mumewe waziri Mkuu wa India Dr. Manmohan Singh aliyeko nchini katika ziara ya kikazi ya siku tatu.
Mke wa Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete ( kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mke wa waziri Mkuu wa India Mama Gursharan Kaur (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyikaa leo katika
ofisi za WAMA zilizopo jiji
Anna Nkinda - Maelezo
No comments:
Post a Comment