Baadhi ya wawakilishi wa mashirika, CBO's, FBO's na makundi maalumu wakisiliza kwa makini wakati wa kuwasilishwa kwa mapendekezo ya bajeti ya Halmashauri za wilaya ya Mbozi, Mji wa Tunduma na Wilaya ya Momba iliyosomwa na mratibu wa kudhibiti UKIMWI Wilaya Mbozi BW. Danny Tweve hayupo pichani.
Mjumbe wa kamati ya kudhibiti UKIMWI CMAC wilaya Mh Diwani Credo Simwinga alialikwa kushuhudia mjadala juu ya mapendekezo yaliyowasilishwa, Kushoto kwake ni Mwenyekiti mpya wa Mtandao wa asasi zinazotekeleza shughuli za Kudhibiti UKIMWI wilayani Mbozi Bw. Lickwell Kita
Na mwandishi wetu Danny Tweve
No comments:
Post a Comment