Enzi za mwalimu Mbeya Iringa siku mbili |
MASKINI RELWE |
Hii ndio ilikuwa makao makuu ya shirika la reli maarufu kama relwe jijini Mbeya ambapo enzi hizo hapo mahali saa hii pangekuwa na vurugu ya mabasi ya abiria na abiria wenyewe wakitoka ama wakielekea sehemu mbalimbali. siku hizi limebaki gofu tu kama zilivyo rasilimali nyingine kibao za relwe nchi nzima, ukiondoa maduka na ofisi za biashara za watu binafsi wanaopachangamsha, swali linakuja mali kama hizi kwa nini zinaachwa?
Kilio cha wakazi wa majengo na sokomatola chasikika Daraja laanza kukarabatiwa asante jiji |
Mitaa ya orofea hii ni barabara ya tatu sokomatola |
Huu ni mtaa wa nonde jijini mbeya |
No comments:
Post a Comment