SOMA KWA MAKINI ILANI HIYO NA ANGALIA KINACHOTENDEKA |
kiwanja cha ndege mbeya kimezungukwa na mashamba ya maharage kunde na bustani ndogo ndogo |
KWA WAKAZI WA MBEYA NA NA DUNIANI KWA UJUMLA JE MWAMFAHAMU ASKOFU HUYU? |
UCHAFU KATIKATI YA JIJI LA MBEYA Hii ni sehemu maarufu sana kwa kuosha magari ya viongozi jijini mbeya eneo la Mbeya retco Je Halmashauri ya jiji mpo? |
1 comment:
Naitwa Raymond nipo London UK kwasasa ila ni mkazi na mzaliwa wa mbeya,nimefurahi sana kuiona hiyo picha ya huyo anayejiita askofu sikumbuki vizuri jina lake ila najua anatokea mtaani kwetu maeneo ya kwa mama John karibu na soko dogo la zamani.big up sana
Post a Comment