Kijana Njenda Lutelo akipigwa na wananchi wenye hasira kali akidaiwa kuiba viti vitano huko ilolo jijini mbeya |
baada ya kipigo kikali walimvisha tairi tayari kwa kuchoma |
mungu wangu sasa tayari kwa kuchomwa kijana njenda lutelo picha kwa hisani ya Kalulunga |
5 comments:
Hakika Dunia sasa imekwisha haswa binadamu mwenzako kumchoma moto hivyo kweli? Je ndo hivyo viti vitarudi?:-(
Jamani wa kwetu, Mbeya na Tanzania nzima. Naomba turudi kwenye ustaraabu, yaani kuumua mtu si sawa kabisa kwa kosa la kuiba vitu. Kama ameshakamatwa tayari, sioni tatizo ni wapi, inabidi tumpeleke polisi ili sheria ichukue mkondo wake. Na kama WaTanzania tunaona Polisi nao wanachukua rushwa basi ni wajibu wetu sote kufanya juu chini tubadilishe tupate viongozi bora. Hii ni picha ya pili kuiona kwenye hii blog. mtu anauliwa, siku nzima nikawa na majonzi. Yaani bado tuko unyama unyama tu, kwa hiyo si yeye tu mwizi ana athirika bali wote tuna athirika kiakili vile vile kwa kua mtu au kuona hivyo. Lakini nimejitoa muanga kufundisha wa kwetu kuwa na subira, kupima je kweli hiki kitu ni sawa kutoa maisha ya mtu?!! Si sheria tena bali wenyewe inabidi tubadirike. Yaani kama huyu jamaa kaiba viti, je inakuaje viongozi wanaoiba mamilioni ya Watanzania na wakati mwingine kutoa maisha wako huru mpaka leo na wote tunajua ilo? Masikini naye lazima ana haki yake jamani.
Inasikitisha sana.
mbona sijaona akichomwa au ilikuwa sinema?
na wewe mpiga picha ulikuwa unaenjoy tu au ulichukua hatua gani?
Post a Comment