Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akimkabidhi zawadi Katibu Mkuu wa zamani wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Maimuna Tarishi, wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Ofisi yakewaliohamishwa kwenda wizara nyingine na wale waliostaafu. Hafla hiyo ilifanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Mary Nagu.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment