Hapa ni sehmu nyingine ya uji uji wa unaotoka kwenye mwamba ambapo maji ya moto hutiririka na kutengeneza miamba ambayo hutumika kuundia maru maru, inaelezwa kuwa nyama ya ng'aombe huiva ndani ya sekunde 75 hadi 90 kutokana na joto la maji hayo! vyote hivi ni sehemu ya utajiri wa wilaya ya Mbozi
Miamba ya Malumalu katika eneo la songwe na vipande vilivyo katwa katwa na wawekezaji tayari kwa usafirishaji kupeleka nje, naambiwa halmashauri ya wilaya haiambulii chochote hapa kwa maelezo kuwa vibali vimetoka wizarani!!
Udongo unaotumika kitengeneza saruji ya Pozzolana hupatikana katika wilaya ya Mbozi pekee mkoani Mbeya, hapa ni mitambo ya kiwanda cha saruji ya Mbeya ikiwa katika hatua ya kuukusanya tayari kupakizwa kwaajili ya kutengeneza saruji, je wilaya inanufaikaje na raslimali hizi?
habari kutoka kwa Indaba Africa
No comments:
Post a Comment