Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, March 25, 2011

Tafakari yetu ya leo....Daaah ukiona hivi ujue kile kina cha maji cha kuzalishia Umeme kinazidi kwenda chini na mgao unachuka nafasi...

Swali ni Je zile Bilion kazaa  Abazo Benki ya Africa imetupa msaada juzi kati na hizi bilioni 45 Tulizo pewa kutoka Japani kwa kuboresha Huduma za upatikanaji wa umeme zitaenda huko kama ilivyo pangwa??na kama jibu ni ndio basi tunangoja kwa hamu hili tatizo la katakata liishe.

No comments: