Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, March 25, 2011

Taarifa kwa wana Mkoa wa Mbeya,Tanzania na Duniani kwa pamoja.

Salam wadau wote kutoka Mkoani Mbeya,Tanzania na Duniani kwa ujumla...
Timu nzima ya Blog ya Mbeya yetu inapenda kuwapa taarifa wadau wote wa mkoa wa Mbeya, Tanzania na Pengine popote Duniani kuwa kama una anahabari yoyote,tukio lolote ikiwa ni la Mahafali yoyote kama ya kumaliza shule, sherehe mbali mbali kama Kipaimara, Ubatizo, Kuzaliwa,Harusi na sherehe zinginezo pia kama unataarifa ya Msiba, Kumbu kumbu yoyote unataka kufahamisha watu na jambo lolote lile usisite kututumia hapa Mbeya yetu Blog nasi tutaweka kwa muda muhafaka pia kama unataarifa kupitia sauti unaweza kututumia kupitia mfumo wa MP3 nasi tutaweka moja kwa moja kupitia Mbeya yetu Online Live Radio..Karibuni sana hii ni Blog ya Jamii kila mtu anauhuru wakutuma jambo analo ona litakuwa na manufaa kwetu sote. Asanteni sana.
Tutumie kwa Barua pepe mbeyayetu@yahoo.com
Taarifa hii ni kwa niaba ya uongozi wa Mbeya yetu Blog
Fredy A. Njeje
Asanteni.


No comments: