Rais Jakaya Kikwete  akizungumza na  Watendaji wa Wizara, Idara, Mamlaka na Taasisi za Wizara  ya Uchukuzi  Jana jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine amewataka  viongozi  hao kuzifanyia kazi changamoto zinazoikabili wizara hiyo  zikiwemo  uboreshaji wa huduma za reli, usafiri mijini,uboreshaji wa  huduma za  bandari, matengenezo ya viwanja vya ndege nchini na migogoro  ya  wafanyakazi.Picha na Aron Msigwa  –MAELEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment