Kaimu Mnikulu,Kassim Mtawa (katikati) akimkabidhi funguo za pikipiki aina ya TVS zenye thamani ya Sh milioni 9.5 ambazo zimetolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa wasanii wa kikundi cha Survival
Sisters, Latifa Abdallah (kulia) na Irene Malekele, Ikulu mjini Dar es Salaam jana.
Ratifa- Mmoja wa wasanii wa Kikundi cha Survival sisters Ratifa Abdallah akijaribu kuendesha pikipiki ya matairi matatu maarufu kama Bajaji walizokabidhiwa jana jijini na Kaimu Mnikulu Mkuu Kassim Mtawa kwa niaba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikiwa ni sehemu ya Rais Kikwete kutekeleza ombi la kikundi hicho la kuwasaidia usafiri utakaowawezesha kuendeleza vipaji vyao vya muziki.
No comments:
Post a Comment