Filamu iliyo simamishwa
Tino
Leo Tino ambaye ni muigizaji wa Bongo muvi amesema katika mahojiano na Mo Blog kwamba yeye sio shoga ila aliamua tu kuigiza kama Shoga katika filamu yake mpya ambapo serikali kupitia idara ya masuala ya filamu imeamua kuisimamisha kuingia sokoni ili yafanywe marekebisho kwanza. Tino unabidi uzungumze kweli kwamba wewe sio shoga lasivyo baadhi ya watu watakomaa na wewe.
No comments:
Post a Comment