Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, March 25, 2011

Mjue Producer mpya kutoka UMABE Arts Company anaitwa Victor Mrisho (Producer Kita)

Salam wakubwa
Kwanza Habari zenu nyote kwa ujumla...sisi huku tupo salama kabisa..Kwa niaba ya timu nzima ya Umabe Arts Company Chini ya Meneja mkuu Azma mponda tunapenda kumtambulisha kwenu Producer  mpya ambae tayali nimemtambulisha hapo juu, ni producer ambae yuko chini ya Rama Records lakini pia ni Production manager wa Umabe arts Company, Kijana Kita kama jina lake la kikazi ana umahili mkubwa wa kutengeneza muziki pia anaimba, napenda wapa taarifa wasanii wote popote Tanzania na Dunia kwa Ujumla kukaribia na kufanya nae kazi..karibuni sana hapa chini nimeambatanisha baadhi ya kazi zake ambazo amefanya na Kampuni yake ya UMABE Arts Company na pia na wasanii wengine Mbali mbali.

Find more music like this on G5 world


Hii ni ngoma yake Producer kita ameifanya hivi karibuni inaitwa jiachie ni Audio utambulisho kwa website mbali mbali aliye produce na kuimba ni Producer Kita aliye Fanya mixa Youtube Fredy Njeje wa kampuni  ya Umabe video itawajia hivi karibuni

Wasiliana nasi kupitia
umabearts@ymail.com
pia karibu kutembelea kazi zetu bofya hapa chini
Asanteni sana
Project and Design Manager Umabe Arts Company

No comments: