MKUU  wa msafara wa jeshi la wanamaji   kutoka nchini China Afande Zhang  Huachen (mwenye sare nyeupe katikati)   akipokewa na mwenyeji wake, Mkuu  wa Jeshi la maji nchini Meja Jerenali   Said Shaban Omar mara baada ya  kuwasili katika Bandari ya  Dar-Es-Salaam
MKUU  wa  msafara wa  jeshi la  wanamaji kutoka nchini China Zhang Huachen  akisalimia na  Maafisa wa  Jeshi la wanamaji wa hapa nchini mara baada ya  kuwasili  katika Bandari  ya Dar-Es-Salaam 
Raia wa nchini China waishio Tanzania wakiwa katika shamrashamra za kuipokea Meli za Kijeshi
Habari kwa Hisani ya Michuzi Blog
  Habari kwa Hisani ya Michuzi Blog
 
 
  
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment