Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, March 6, 2011

Machinga wa Moshi


Mji wa Moshi unasifika si kwa utalii pekee bali pia hata kwa biashara ndogo ndogo. Watasha hawa wamekutwa na kamera yetu maeneo ya chuo cha shirika wakiuza chipsi za mihogo na juisi, bega kwa bega na wauza ndizi mbivu

Habari hii imenivutia sana Kutoka Michuzi Blog

No comments: