Karibu kiwanda cha chai Katumba wilaya ya Rungwe Mbeya
Mtaalam akiwa kazini kuhakikisha chai inatengenezwa kwa kiwango cha Juu
Hapa tayari chai ikiwa katika hatua za mwishoni kabla ya kupakiwa
Chai ikiwa katika Hatua ya kwanza ya Kupakiliwa katika mifuko maalum
Hapa Chai ikiwa tayari kwa ajili ya kusambazwa
Picha zote na Mdau Abdon Mahimbo wa Jijini Mbeya
No comments:
Post a Comment