Kamati ya bunge ndani ya madini ya mchuchuma Ludewa
mwenyekiti wa kamati ya mashirika ya umma na hesabu za serikali (POAC) Zitto Kabwe akitazama madini ya mchuchuma wilayani Ludewa ,madini hayo yapo nje nje kama yanavyoonekana hapa
Mwenyekiti wa kamati ya bunge hesabu za mashirika ya umma Zitto Kabwe (wa nne kulia waliosimama ) akiwa na wajumbe wa kamati hiyo walipotembelea madini ya lilanga kwa ajili ya kuzalisha chuma yaliyopo kijiji cha Mdindi wilaya ya Ludewa nyuma yao ni mlima wa madini hayo ,kamati hiyo ilitembelea jana eneo hilo la kueleza kusikitishwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa mradi huo ,aliyechuchumaa chini wa pili kulia ni makamu mwenyekiti wa kamati hiyo Deo Filikunjombe ambaye ni mbunge wa jimbo hilo la Ludewa
Habari kutoka kwa Francis Godwin
No comments:
Post a Comment