Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, March 4, 2011

Je Unakijua Kimondo?


Picha nzima ya muonekano wa kimondo
Baadhi ya watafiti wakijalibu kukimegua kimondo

Muonekano wa jirani wa Kimondo

Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na kijiji cha Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka katika kilima cha Mlenje Ndolezi, wilayani Mbozi katika Jiji la Mbeya Tanzania. Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana ulimwenguni kwa kuwa hiki ni cha chuma. karibuni sana kuja kukitembelea na msiishie kukitazama tuu katika picha

No comments: