Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, March 15, 2011

JAMANI KARIBUNI MBEYA KUNA KILA AINA YA MATUNDA

2 comments:

DarPLus said...

Jamani I miss home maksokera aka maparachichi, mbaraga aka ndizi can't wait. Kweli Mbeya imebarikiwa sana na watu wake ni wakarimu mno. Thanks for sharing. "Ndaga fijo"

isaackin said...

dah umetukumbusha mbali sana bingwa,hii ndizi ulikua unakula na hilo takapela,au matoke ya kuchoma na hilo parachichi yaani huo utamu sipati kuelezea,halafu kuna kipindi nikitembelea huko bush mnapika ugali wa kufa mtu kisha mnaenda okota makatapela ya kulia na ugali,maisha yalikua raha tupu.sijui siku hizi.