Waziri wa Fedha Muheshimiwa, Mustafa Mkulo akikabidhiana hati ya mkataba na Mkurugenzi wa Benki ya Africa Development(AFDB) , Gabriel Negatu ikiwa ni msaada wa Sh.Bilioni 251.62 kwa ajili ya kusaidia Secta ya Maji na Umeme. Hafla hiyo ilifanyika ofisi za Hazina Jijini Dar es salaam jana asubuhi. (picha na Vicent Tiganya wa Malelezo)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment