Kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya MBOZI Bw. Lington Ngaikwela akitoa maelezo kwenye baraza la madiwani lililoketi jana wilayani Mbozi
Kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya MBOZI Bw. Lington Ngaikwela akitoa maelezo kwenye baraza la madiwani lililoketi jana wilayani Mbozi
Diwani wa viti maalumu kata ya Luanda Mh Eva Mlonganile akichangia kwenye baraza hilo ambapo alijielekeza zaidi katika kuitaka idara ya maendeleo ya jamii isaidia kuviimarisha vikundi vya VICOBA ambavyo vimeanzishwa na wanawake kwenye kata hiyo.
Na mwandishi wetu Danny Tweve
No comments:
Post a Comment