Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, February 25, 2011

Hawa ni wanyakyusa hapo zamani

1 comment:

Anonymous said...

Tena hili vazi lilikuwa linaitwa Ilyawi na hasa walikuwa akina mama wakivaa wakati wakicheza Lighoma. Kwa wale waliokulia Mbeya mjini miaka ya siti hawatakuwa wamemsahau Mzee Kasangaliane jinsi alivyokuwa akipiga lile goma kubwaaaa!!!! Waaauuuh umenikumbusha mbali kweli ahsante sana.