Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, February 26, 2011

HAPA LAZIMA UDATE.....hata ukiwa mgumu vipi






Mmmmmh jamani hii dunia ingekuwa hakuna kuzeeka wala kufa, ningeomba nikae na huyu kimwana maisha yangu yote tukiwa tuanaburudishana.



lakin hata kuangalia tu ni burudani tosha. Hapa tuko mjini Kigali jamani looo! Hii siyo ya Kibongo. Nilibahatika kuwa huko siku za karibuni, Kigali ni burudani tupu.
"

1 comment:

Anonymous said...

Aminia mtu mzima
Kigali ni soo
inabidi kuandaa bajeti ya ku visit huko