Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Hamad Mussa Yussuf , akichoma moto mswada wa sheria ya kuanzisha Tume ya kurekebisha Katiba Tanzania leo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Picha na Hamad Hija,MAELEZO Zanzibar
1 comment:
redio ni nzuri sana,je huwa kuna taarifa za habari,au vipindi vya magazetini??
Post a Comment