Jana nilikua live katika mashindano ya Formula1 maarufu kama F1 yaliyo fanyika Malaysia Jana Nilikua pale Live Moja kwa moja nikichukua tukio zima na Hii ni Video hii pia wale madereva ama wataalam wa kuendesha magari hayo wote walikuwepo.
Majina ya Majina 10 ya walioshinda jana katika shindano hilo
1 Sebastian Vettel
2 Jenson Button
3 9 Nick Heidfeld
4 Mark Webber
5 Felipe Massa Ferrari
6 Fernando Alonso
7 Kamui Kobayashi
8 Lewis Hamilton
9 Michael Schumacher
10 Paul di Resta
Baada ya Tukio mwandishi Fredy Njeje Alijivinjali Huko Mjini KUALA LUMPUR
No comments:
Post a Comment