Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, March 14, 2015

TANGAZO … TANGAZO… NYUMBA INAPANGISHWA. KATIKATI YA JIJI LA MBEYA

SURA YA MBELE YA NYUMBA


SURA YA NYUMA YA NYUMBA

LANGO KUU LA KUINGIA KATIKA NYUMBA HII

KWA MBELE  KWENYE LANGO KUU LA KUINGIA KATIKA NYUMBA HII KUNAKIBANDA CHA MLINZI


Nyumba inapangishwa iko katika hali nzuri, ya kisasa ina vyumba vinne(4) vya kulala, Jiko moja, Vyoo vya ndani na choo cha nje.Pia ina sehemu kubwa ya kuegesha magari (Parking), uzio(Fence) imara na ulinzi mzuri na sehemu ya bustani ya majani(Garden).Inapatikana Uhindini nyuma ya Mtaa wa Lupa(Lupa way) karibu kabisa na benki ya TIB ni sehemu inayofikika kirahisi.Kwa maelewano zaidi na gharama piga 
simu namba 

0784 272781.No comments: