Mkuu wa mkoa Mbeya Abas Kandoro akiangalia ajali liyotokea mbalizi mbeya mchana wa leo
Kwa upande wake, Muuguzi wa Hospitali ya Ifisi, Sikitu
Mbilinyi alisema mbunge Mwanjelwa analalamika zaidi maumivu katika sehemu
ya mgongoni na miguu sawa na dereva wake ambaye naye analalamikia
miguu na amepasuka sehemu ya kichwani.
PICHA NA HABARI : MBEYA YETU BLOG |
Tuesday, October 2, 2012
WATU 8 wamakufa papo hapo ajalini, 20 wakijeruhiwa akiwemo Mbunge Mary Mwanjelwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment