Sakata hilo limetokea asubuhi ya jumatano ambapo waumini wa kanisa
hilo walifika kwa lengo la kutaka kufanya ibaada ya umoja wa akina mama na
kukuta milango imefungwa na makufuli mengine na kubandika matangazo ya
katika milango hiyo yaliyosomeka
MLANGO UMEFUNGWA KWASABABU MCHUNGAJI HANA
AMANI NA WAKKRISTO TAFADHALI USIFUNGUE MPAKA UONGOZI WA JUU UTAKAPO FIKA BY
UTAWALA.
Mwandishi wa habari hii alikutana na makamu wa mwenyekiti ZAKARIA
SICHONE,Mwenyekiti wa wilaya ya Meya mjini mch swila na mchungaji wa kanisa
hilo Ambao walifika kanisani hapo kwa kusudi la kusikiliza tuhuma hizo hawakuwa
tayari kuzungumzia mgogolo huo
No comments:
Post a Comment