Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, September 15, 2011

UPIGAJI NONDO TISHIO MKOANI MBEYA

Bwana Elia Daudi Mwalonde mkazi wa Uyole akiwa hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya wodi namba 1 baada ya kupigwa nondo.
Bwana Meshack Kombo Mwakibinga mwenye umri wa miaka 33, mzaki wa Chunya alipingwa nondo eneo la Soweto jijini Mbeya akiwa hospitali ya Rufaa Mbeya wodi namba 1.
Bwana Zefania Mwangwale mwenye umri wa miaka 31 mkazi wa Uyole akiwa katika Hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya. Tukio hili lilimkuta Bwana Zefania akiwa na wenzake Hans Kyando na Shitambali Shitindi wakiwa kwenye Grocery ya WP Frola walivamiwa na kupingwa nondo na kuporwa simu aina ya Nokia na Pesa taslmu shilingi 420,000/= mali ya Askali WP FROLA ambaye ni mmiliki wa Grocery hiyo.iliyopo Uyole jijini Mbeya.

Wito umetolewa kwa wananchi kujitolea damu kwa ajiji ya kuwanusuru wahanga wa janga la kupingwa nondo ambao katika Wodi namba 1 mtandao huu umebaini kuwepo kwa zaidi ya majeruhi 9.

2 comments:

Anonymous said...

majeruhi poleni sana mungu atawasaidia
kama watuhumiwa wamekamatwa c wauwawe tu mbona wanatunyanyasa namna hiyo tukitembea tunatembea na wasiwasi mwaka jana walifanya hivyo na mwakahuu tena

Anonymous said...

majeruhi na ndugu poleni sana Mungu yu pamoja nasi. Tuzidi kuomba na kukemea pepo wa nondo anayezidi kutikisa jiji let la Mbeya kwa maombi na imani utashinda AMEN