Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 13, 2011

Mama Salma Kikwete achangisha Fedha Kusaidia Kuzuia Upofu

Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akiongea katika hafla ya uchangishaji

Rais wa Lion Club Dar es Salaam ,Lion Frank Goyayi (kushoto) akimvisha beji Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete (juni 11-2011) jijini Dar Es Salaa wakati wa ufunguzi wa Fashion For Vision Shaw kwaajili ya kuchangia fedha kwaajili ya kuzuia upofu na kusaidia kurudisha uwezo wa kuona, huduma hiyo inatolewa chini ya programu iitwayo -Lions Sight First Program.

Baadhi ya nguoa alizozishona Mustafa Hassanali

No comments: