Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, May 17, 2011

KWA WAKAZI WALIYOKUWA WAKIISHI MBEYA MNALIKUMBUKA KANISA HILI NA LIPO WAPI?


2 comments:

Anonymous said...

Duh! Hapo ni karibu kabisa na mitaa yetu. Ni kanisa la Pentecosti. Nyuma yake ni makaburini karibu na Shule ya Sekondari Loleza. Pembeni yake ni nyumba ya mzee wetu maarufu sana mitaa hiyo-MZEE MWEGEKA. Alikuwa na mbwa kibao!! Tumewinda sana ndege mitaa hiyo an tulikuwa natimu yetu inaitwa Makaburini Stars. Nyuma tu ya kanisa kulikuwa na uwanja wa mpira. Siju sikuhizi kupo vipi.

Raymond Mkandawile said...

Bila shaka hilo ni kanisa la pentecostal maarufu kama Jerusalem Tempol lililopo sokomatola karibu na stand ya daladala mwisho sokomatola.