Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, May 10, 2011

Wavaa miwani wakati wa Lindo wana maanisha nini?

  
Wadau si kila mvaa miwani huwa anamaanisha usalama lakini kamera yetu ilimbaini huyu jamaa akiwa amevalia mawani makubwa na simu pembeni na daftari ya wageni, kumbe miwani hiyo hutumika pindi wanapo taka kulala ili wateja ama wageni wasiwagundue,haka katabia kamezuka sana katika maeneo mengi hapa Jijini Dar es salaam.

No comments: