Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, May 13, 2011

MLEMAVU WA MACHO MUUZA VOCHA JIJINI MBEYA

KIJANA HUYU ANAHITAJI MSAADA KIKWELI NI MJASIRIAMALI C OMBA OMBA HLF NI MLEMAVU WA MACHO HAONI ANAUZA VOCHA ANARUDISHA CHENJI KAMILI HATA KAMA UMETOA NOTI MPYA YA ELFU KUMI HLF ANAFANYIA BIASHARA KATIKATI YA KUNDI LA WATU MWANJELWA

No comments: