Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, May 14, 2011

Hii ni Kero zaidi Internet Cafee za Kawe

Ni maeneo ya Kawe ambapo mdau mmoja ametuletea Taswira hii na kulalamika kuwa moja ya Internet Cafe ikiwemo na hii mitaa ya Kawe hawaruhusu wadau kutumia Computer zao Binafsi nikimaanisha Laptop, Usumbufu huo ambao umati wa watu hao wanakimbilia maeneo ya Mlimani city Mwenge na hata Sinza ameendelea kudai kuwa Cafe zote za eneo hilo hazitoi huduma hiyo muhimu kwa wateja, Lazima ukae katika Computer zao, ambapo hakuna kitu ambacho wangepoteza kama wangetupa network cable na sisi kutumia net wenyewe.
USHAURI WA BURE SIO KWAMBA WATEJA HAWAPO ILA HUDUMA WATOAZO NI MBOVU SANA.

No comments: