Mwenyezi Mungu ni mkubwa...watoto hawa mapacha walioungana waliokuwa wakilelewa katika hospitali ya Ikonda wilayani Makete mkoani Iringa, Consolata na Maria Mwakikuti hivi sasa wako kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Jangwani jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment