Uchafu uliopita kiasi maeneo ya Bamaga
Hii sio bara bara za huko maeneo mengine ni Jijini Dar es Salaam maeneo ya bamaga ambapo ni Njia kuu kuelekea Bagamoyo na maeneo ya Posta
Mdau akitafuta japo kaupenyo kukwepa shuruba izo
Hapa magari yanakwama kila kukicha
1 comment:
Ebwanaeeeee..Libeneke inabidi Manispaa ya kinondoni iwajibike maana mitaro inaziba kila kukicha..Kwani na wenyewe mabosi c wanapita njia hiyo hiyo kuelekea kunako Mbezi beach kwa mabodhiiii?Lait ingetokea mitaa ya kwao..Mdau ungeona wafanyakazi wa manispaa wangekuja fasta.Au Kisa pale bamaga hakuna nyumba za kitaani kiivyo ka huko kwenu?C kuna chuo jamani?..
Post a Comment