Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiangalia maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mizingani Wambaa, yenye urefu wa Kilometa 9.7 inayoendelea kujengwa, wakati alipotembelea na kukagua akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali kwenye mikoa ya Kaskazini na Kusini Pemba leo Mei 18. Kushoto ni Ofisa msimamizi kutoka Wizara yaMaswasiliano na Miundombinu Zanzibar, Hamadi Baucha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mizingani Wambaa, yenye urefu wa Kilometa 9.7 kutoka kwa Injinia Gaitano Musuku, (kushoto kwake) wakati alipotembelea na kukagua akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali kwenye mikoa ya Kaskazini na Kusini Pemba leo Mei 18. Kushoto ni Ofisa msimamizi kutoka Wizara yaMaswasiliano na Miundombinu Zanzibar, Hamadi Baucha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akikagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mizingani Wambaa, inayojengwa kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Kilomita 9.7, wakati alipofika Mkoa wa Kusini Pemba kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali leo Mei 18.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment