Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, May 11, 2011

DR. BILAL KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA, ISTANBUL


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Anna Tibaijuka, wakati wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Nchi Masikini, unaoendelea jijini Istanbul, Uturuki. Mkutano huo unatarajia kumalizika Mei 13 mwaka huu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO), Jacques Diouf, wakati walipokutana kwa ajili ya kufanya mazungumzo kwenye Ukumbi wa Mkutano jijini Istanbul leo. Makamu wa Rais Dkt Bilal, amemuwakilisha Rais wa Jakaya kikwete katika Mkutano wa Umoja wa mataifa kuhusu Maendeleo ya nchi masikini, unaoendelea jijini Istabunbul.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO), Jacques Diouf, wakati walipokutana kwa ajili ya kufanya mazungumzo kwenye Ukumbi wa Mkutano jijini Istanbul leo. Makamu wa Rais Dkt Bilal, amemuwakilisha Rais wa Jakaya kikwete katika Mkutano wa Umoja wa mataifa kuhusu Maendeleo ya nchi masikini, unaoendelea jijini Istabunbul.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais.

No comments: